• HABARI MPYA

    Friday, January 20, 2017

    TEVEZ APATA MAPOKEZI MAZURI CHINA

    Mshambuliaji wa Argentina, Carlos Tevez akiwa amezungukwa na umati wa watu baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Shanghai Pudong, China jana tayari kujiunga na klabu yake mpya, Shanghai Shenhua ambako atakuwa akilipwa zaidi ya wachezaji wote duniani, Pauni 615,000 kwa wiki. Mchezaji huyo wa zamani wa West Ham, Manchester United na Manchester City kwa sasa anawazidi hadi Muargentina mwenzake, Lionel Messi na Mreno Cristiano Ronaldo  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TEVEZ APATA MAPOKEZI MAZURI CHINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top