• HABARI MPYA

  Saturday, January 21, 2017

  ROONEY AINUSURU MAN UNITED KULALA KWA STOKE CITY

  Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney akiwapigia makofi mashabiki baada ya kuifungia timu hiyo bao la kusawazisha dakika ya nne ya muda wa nyongeza baada ya dakika 90 za kawaida katika sare ya 1-1 na wenyeji, Stoke City leo Uwanja wa Bet365 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Juan Mata alijifunga dakika ya 19 kuipatia Stoke bao la kuongoza wakati Rooney leo amefunga bao lake la 250 na kuvunja rekodi ya mabao kwa Mashetani hao Wekundu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROONEY AINUSURU MAN UNITED KULALA KWA STOKE CITY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top