• HABARI MPYA

  Monday, January 16, 2017

  RAMOS AJIFUNGA REAL MADRID YALALA 2-1 LA LIGA

  Sergio Ramos akipiga kichwa kujifunga katika harakati za kuokoa shuti la mpira wa adhabu zikiwa zimebaki dakika sita na kuipatia Sevilla bao la kusawazisha Real Madrid ikilala 2-1 katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan. Bao lingine la Sevilla lilifungwa na Stevan Jovetic dakika ya 90 na ushei, wakati la Real lilifungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAMOS AJIFUNGA REAL MADRID YALALA 2-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top