• HABARI MPYA

  Monday, January 09, 2017

  PEDRO AGONGA MBILI CHELSEA YAUA 4-1 KOME LA FA

  Nyota wa Chelsea, Pedro akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika za 18 na 75 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Peterborough kwenye mchezo wa Komba la FA usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya The Blues yalifungwa na Michy Batshuayi dakika ya 44 na Willian dakika ya 53, wakati la Peterborough lilifungwa na Tom Nichols huku mkongwe John Terry akitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PEDRO AGONGA MBILI CHELSEA YAUA 4-1 KOME LA FA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top