• HABARI MPYA

  Saturday, January 07, 2017

  MUSA APIGA ZOTE MBILI LEICESTER YAILAZA 2-1 EVERTON

  Mshambuliaji Ahmed Musa akishangilia baada ya kuifungia Leicester City mabao mawili dakika za 66 na 71 ikitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya wenyeji Everton katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la FA leo Uwanja wa Goodison Park. Everton ilitangulia kwa bao la Romelu Lukaku dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MUSA APIGA ZOTE MBILI LEICESTER YAILAZA 2-1 EVERTON Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top