• HABARI MPYA

    Sunday, January 15, 2017

    MESSI, SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA YAUA 5-0

    Lionel Messi (kushoto) na Luis Suarez (kulia) wakishangilia baada ya wote kufunga katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Las Palmas Jumamosi Uwanja wa Camp Nou kwenye mchezo wa La Liga.  Suarez alifunga mabao mawili dakika za 14 na 57, Messi moja dakika ya 52, Turan dakika ya 59 na Vidal dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI, SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA YAUA 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top