• HABARI MPYA

    Thursday, January 12, 2017

    MESSI, NEYMAR, SUAREZ WAIPELEKA BARCA ROBO FAINALI

    Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akijaribu kumtoka Benat Etxebarria wa Athletic Bilbao katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Barca ilishinda 3-1 mabao yake yakifungwa na Suarez dakika ya 35, Neymar kwa penalti dakika ya 48 na Messi dakika ya 78, huku la wageni likifungwa na Enric Saborit dakika ya 51 na Barca inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-3, baada ya awali kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza ugenini PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI, NEYMAR, SUAREZ WAIPELEKA BARCA ROBO FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top