• HABARI MPYA

    Thursday, January 05, 2017

    MBUYU TWITE KAZINI FANJA

    Beki anayeweza kucheza kama kiungo pia, Mbuyu Twite (4) akiwa na wachezaji wenzake wa Fanja ya Oman kwenye mazoezi jana mjini Muscat Oman, Twite amejiunga na Fanja baada ya kumaliza mkataba wake Yanga aliyoitumikia kwa miaka minne. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBUYU TWITE KAZINI FANJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top