• HABARI MPYA

    Saturday, January 07, 2017

    MATUMLA KUZIPIGA NA MFAUME FEBRUARI 2 TAIFA

    Mratibu wa mpambano wa ngumi Jocktan Masasi (katikati) akiwainuwa mikono juu mabondia Mfaume Mfaume (kushoto) na Mohammed Matumla (kulia) wakati wa kutambulisha pambano lao la uzito wa Feather litakalofanyika Februari 2, mwaka huu Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MATUMLA KUZIPIGA NA MFAUME FEBRUARI 2 TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top