• HABARI MPYA

  Wednesday, January 11, 2017

  MAN UNITED YAICHAPA HULL CITY 2-0 KOMBE LA LIGI

  Kiungo Marouane Fellaini akimkumbatia kwa furaha kocha wake, Jose Mourinho benchi baada ya kuifungia Manchester United bao la pili dakika ya 87 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Hull City kwenye mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England Uwanja wa Old Trafford usiku wa jana. Bao la kwanza la United lilifungwa na Juan Mata dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAICHAPA HULL CITY 2-0 KOMBE LA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top