• HABARI MPYA

  Tuesday, January 03, 2017

  MAN UNITED YAENDELEA KUNG'ARA LIGI KUU ENGLAND

  Kiungo wa Manchester United, Juan Mata akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya 63 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, West Ham United jana Uwanja wa London. Bao la pili la Man United lilifungwa na Zlatan-Ibrahimovic dakika ya 78 katika mchezo ambao Sofiane Feghouli wa West Ham alitolewa kwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu ya kawaida Phil Jones iliyostahili hata kadi ya njano PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAENDELEA KUNG'ARA LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top