• HABARI MPYA

  Saturday, January 07, 2017

  MAN CITY YAIPIGA 5-0 WEST HAM KOMBE LA FA

  Wachezaji wa Manchester City wakishangilia bao lao la nne katika ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji West Ham United usiku wa jana kwenye mchezo wa Kombe la FA Raundi ya Tatu Uwanja wa London. Mabao ya City yalifungwa na Yaya Toure dakika ya 33 kwa penalti, Havard Nordtveit aliyejifunga dakika ya 41, David Silva dakika ya 43, Sergio Aguero dakika ya 50 na John Stones dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAIPIGA 5-0 WEST HAM KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top