• HABARI MPYA

  Sunday, January 15, 2017

  MAN CITY TAABANI, YATANDIKWA 4-0 NA EVERTON

  Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling akijaribu kupasua katikati ya kipa Joel Robles (kushoto) na beki wa Everton, Leighton Baines katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Goodison Park mjini Liverpool. Everton imeshinda 4-0 mabao ya Romelu Lukaku dakika ya 34, Kevin-Mirallas dakika ya 47, Tom Davies dakika ya 79 na Ademola Lookman dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY TAABANI, YATANDIKWA 4-0 NA EVERTON Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top