• HABARI MPYA

  Wednesday, January 18, 2017

  MAMBO YA KADITO SI MCHEZO, ASHUSHA DOGO MRUNDI GALATASARAY

  Wakala wa wachezaji, Mtanzania Dennis Kadito (kulia) akiwa na mchezaji chipukizi wa Burundi, kiungo Youssuf Ndayishimiye mwenye umri wa miaka 18 kutoka klabu ya Aigle Noir ya kwao. Wawili hao wapo mjini Galatasaray, Uturuki, ambako Ndayishimiye amepelekwa kwa majaribio katika klabu ya Galatasaray
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAMBO YA KADITO SI MCHEZO, ASHUSHA DOGO MRUNDI GALATASARAY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top