• HABARI MPYA

  Friday, January 13, 2017

  MAKIPA AZAM WALIVYOANDALIWA KWA AJILI YA SIMBA LEO

  Kocha wa makipa wa Azam FC, Iddi Abubakar (katikati) akiwapa maelekezo vijana wake, Aishi Manula (kulia) na Mwadini Ali (kushoto) katika mazoezi ya jana kujiandaa na mchezo wa leo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Simba SC Saa 2:15 usiku Uwanja wa Amaan, Zanzibar. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAKIPA AZAM WALIVYOANDALIWA KWA AJILI YA SIMBA LEO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top