• HABARI MPYA

    Friday, January 20, 2017

    MABINTI U-17 WAKIWANIA UTEUZI TIMU YA TAIFA

    Kocha Mkuu wa timu ya soka ya wasichana chini ya umri wa miaka 17 (U-17), Sebastian Nkoma akitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu hiyo jana wakati wa Kliniki ya Airtel Rising Stars inayoendelea Uwanja wa Jakaya Kikwete, Dar es Salaam kutafuta vijana wenye vipaji kuunda timu ya taifa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MABINTI U-17 WAKIWANIA UTEUZI TIMU YA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top