• HABARI MPYA

  Tuesday, January 03, 2017

  LIVERPOOL YAAMBULIA SARE KWA SUNDERLAND, 2-2 LIGHT

  Mshambuliaji wa Liverpool, Daniel Sturridge akiifungia bao la kwanza timu yake kwa kichwa dakika ya 19 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Sunderland Uwanja wa Light usiku wa jana. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Sadio Mane dakika ya 72, wakati ya Sunderland yote yalifungwa na Jermain Defoe kwa penalti dakika ya 25 na 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAAMBULIA SARE KWA SUNDERLAND, 2-2 LIGHT Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top