• HABARI MPYA

  Saturday, January 21, 2017

  LIVERPOOL WATAFUNWA NA SWANSEA 3-2 ANFIELD

  Beki wa kushoto wa Liverpool, James Milner (kushoto) akimuangusha kiungo wa Swansea City, Mholanzi, Leroy Fer katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Anfield. Swansea wameshinda 3-2. Mabao ya Swansea yamefungwa na Fernando Llorente dakika ya 48 na 52 na Gylfi Sigurdsson dakika ya 74, wakati ya Liverpool yalifungwa na Roberto Firmino dakika ya 55 na 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL WATAFUNWA NA SWANSEA 3-2 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top