• HABARI MPYA

  Thursday, January 19, 2017

  LIVEROOOL YASONGA MBELE KOMBE LA FA

  Lucas Leiva akishangilia baada ya kuifungia Liverpool dakika ya 18 bao pekee katika ushidi wa 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji Plymouth kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe La FA England usiku wa jana Uwanja wa Home Park, Plymouth. Divock Origi alikosa penalti dakika ya 87 iliyookolewa na kipa na sasa Liverpool itapambana na timu ya Daraja la Kwanza, Wolves Uwanja wa Anfield katika Raundi ya Nne ya FA PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVEROOOL YASONGA MBELE KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top