• HABARI MPYA

  Saturday, January 21, 2017

  LEWANDOWSKI APIGA ZOTE MBILI BAYERN YAUA 2-1 BUNDESLIGA

  Robert Lewandowski akikimbia kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Bayern Munich dakika za 35 na 90 na ushei katika ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya wenyeji, Freiburg kwenye mchezo wa Bundesliga usiku wa jana Uwanja wa Schwarzwald mjini Freiburg. Bao la wenyeji lilifungwa na Janik Haberer dakika ya nne PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI APIGA ZOTE MBILI BAYERN YAUA 2-1 BUNDESLIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top