• HABARI MPYA

  Monday, January 09, 2017

  KIPRE BALOU AMFUATA TCHETCHE OMAN, ATUA FANJA

  Kiungo wa zamani wa Azam FC, Kipre Michael Balou (kushoto)  akiwa na kiongozi wa Fanja, Hamoud Elsry baada ya kuwasili mjini Muscat, Oman kwa mipango ya kujiunga na klabu hiyo ya Ligi Kuu nchini humo. Ikumbukwe pacha wake, Kipre Herman Tchetche, wote raia wa Ivory Coast naye yuko Oman anachezea Al Suwaiq baada ya kuondoka Azam pia  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIPRE BALOU AMFUATA TCHETCHE OMAN, ATUA FANJA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top