• HABARI MPYA

    Sunday, January 15, 2017

    IBRAHIMOVIC AINUSURU MAN UNITED KULALA KWA LIVERPOOL

    Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic akiuvuta mpira kiutaalamu katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo dhidi ya Liverpool Uwanja wa Old Trafford. Ibrahimovic aliifungia Man United bao la kusawazisha dakika ya 84 baada ya James Milner kutangulia kuifungia Liverpool kwa penalti dakika ya 27, kufuatia Paul Pogba kuunawa mpira akimdhibiti Dejan Lovren PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: IBRAHIMOVIC AINUSURU MAN UNITED KULALA KWA LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top