• HABARI MPYA

    Tuesday, January 10, 2017

    HUYU JAMAA KAWAFUNIKA RONALDO NA MESSI KWA KUFUNGA BAO ZURI

    Mohd Faiz Subri akipunga mkono baada ya kupokea tuzo yake ya Puskas ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kutokana na kufunga bao bora la Mwaka katika mchezo baina ya timu yake, Penang na Pahang kwenye Ligi Kuu ya Malaysia Februari 16, mwaka 2016 GONGA HAPA KUTAZAMA VIDEO YA BAO LENYEWE 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HUYU JAMAA KAWAFUNIKA RONALDO NA MESSI KWA KUFUNGA BAO ZURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top