• HABARI MPYA

  Saturday, January 14, 2017

  HARRY KANE APIGA HAT TRICK, SPURS YAITANDIKA 4-0 WEST BROM

  Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akifumua shuti kuifungia timu yake bao la nne na la tatu kwake katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya West Brom jioni ya leo Uwanja wa White Hart Lane, London. Spurs imeshinda 4-0, Kane akifunga dakika za 12, 78 na 82, wakati lingine beki Gareth McAuley alijifunga dakika ya 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HARRY KANE APIGA HAT TRICK, SPURS YAITANDIKA 4-0 WEST BROM Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top