• HABARI MPYA

  Saturday, January 21, 2017

  HAJJI MANARA NA JERRY MURO 'WALIVYOMEREMETA' JUZI SERENA

  Wakuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro (kushoto) na Hajji Manara (kulia) wakifurahi pamoja katika sherehe za umoja wa Vijana wa Dar es Salaam ujulikanao kama The Impossible Is Possible zilizofanyika  hotel ya Serena, Jijini juzi jioni  
  Jerry Muro (katikati) akiwa na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ambaye ni Yanga mwenzake na Alawiy Alhadad 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAJJI MANARA NA JERRY MURO 'WALIVYOMEREMETA' JUZI SERENA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top