• HABARI MPYA

    Thursday, January 19, 2017

    DEPAY AWASILI UFARANSA KUJIUNGA NA LYON KWA PAUNI MILIONI 21

    Memphis Depay akiwa na bosi wa usajili wa klabu ya Lyon, Florian Maurice (kulia) baada ya kuwasili nchini Ufaransa kwa ajili ya mipango ya kujiunga na klabu hiyo kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 21.6 kutoka Manchester United PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DEPAY AWASILI UFARANSA KUJIUNGA NA LYON KWA PAUNI MILIONI 21 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top