• HABARI MPYA

  Thursday, January 05, 2017

  DELE ALLI APIGA ZOTE MBILI, SPURS YAILAZA 2-0 CHELSEA

  Mshambuliaji Dele Alli akienda juu kuifungia kwa kichwa Tottenham Hotspur bao la pili dakika ya 54 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa White Hart Lane mjini London. Dele alifunga na bao la kwanza pia dakika ya 45 yote akimalizia pasi za Christian Eriksen PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DELE ALLI APIGA ZOTE MBILI, SPURS YAILAZA 2-0 CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top