• HABARI MPYA

    Friday, January 13, 2017

    CONTE KOCHA BORA ENGLAND KWA MARA YA TATU MFULULIZO

    Kocha wa Chelsea, Mtaliano akiwa ameshika tuzo ya kocha bora wa Ligi Kuu ya England kwa mwezi Desemba mwaka jana baada ya kukabidhiwa leo, hivyo kuwa kocha wa kwanza kutwaa mara tatu mfululizo tuzo hiyo baada ya kutwaa pia Oktoba na Novemba 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CONTE KOCHA BORA ENGLAND KWA MARA YA TATU MFULULIZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top