• HABARI MPYA

    Wednesday, January 18, 2017

    BURNLEY YAITUPA NJE SUNDERLAND KOMBE LA FA

    Andre Gray akimchambua kipa Vito Mannone kuifungia bao la pili Burnley dakika ya 83 baada ya Sam Vokes kutangulia kufunga dakika ya 44 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sunderland kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Turf Moor mjini Burnley. Sasa Burnley itamenyana na wababe wa Daraja la Kwanza, Bristol City katika Raundi ya Nne Januari 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BURNLEY YAITUPA NJE SUNDERLAND KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top