• HABARI MPYA

  Wednesday, January 18, 2017

  BENTEKE APIGA ZOTE MBILI, CRYSTAL PALACE YASONGA MBELE KOMBE LA FA

  Mshambuliaji Christian Benteke (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Crystal Palace mabao mawili dakika za 68 na 77 baada ya kutokea benchi kuchukua nafasi ya Loic Remy dakika ya 62 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Bolton Wanderers usiku wa jana Uwanja wa Selhurst Park, London. Bolton walitangulia kwa bao la James Henry dakika ya 48. Crystal Palace sasa itamenyana na Manchester City katika Raundi ya Nne ya FA PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENTEKE APIGA ZOTE MBILI, CRYSTAL PALACE YASONGA MBELE KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top