• HABARI MPYA

    Friday, January 20, 2017

    BARCELONA YAVUNJA MWIKO WA KUTOSHINDA ANOETA, YAITWANGA REAL

    Lionel Messi akiwatoka wachezaji wa Real Sociedad katika mechi ya kwanza ya Robo Fainali Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Manispaa ya Anoeta mjini San Sebastian. Barca ilishinda 1-0 nao pekee la Neymar dakika ya 21 kwa penalti, huo ukiwa ushindi wao wa kwanza mjini humo baada ya miaka 10 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA YAVUNJA MWIKO WA KUTOSHINDA ANOETA, YAITWANGA REAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top