• HABARI MPYA

    Friday, January 06, 2017

    BARCELONA YAPIGWA 2-1 MECHI YA KWANZA MWAKA MPYA

    Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akipasua katikati ya mabeki wa Athletic Bilbao katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa San Mames. Bilbao ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Aritz Aduriz dakika ya 25 na Inaki Williams dakika ya 28 huku la Barca likifungwa na Messi dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA YAPIGWA 2-1 MECHI YA KWANZA MWAKA MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top