• HABARI MPYA

    Monday, January 09, 2017

    BARCELONA CHUPUCHUPU KWA VILLARREAL LA LIGA, SARE 1-1

    Kiungo wa Barcelona, Sergio Busquets akimuangusha mshambuliaji wa Villarreal, Alexandre Pato katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa El Madrigal, timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Villarreal walitangulia kwa bao la Nicola Sansone dakika ya 49 kabla ya Lionel Messi kuisawazishia Barca kwa shuti la mpira wa adhabu dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA CHUPUCHUPU KWA VILLARREAL LA LIGA, SARE 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top