• HABARI MPYA

    Tuesday, January 10, 2017

    BAKHRESA ASHUSHA AZAM SEA LINK 2, NI BOINGE LA MELI HAKUNA TENA!

    Meli ya kubeba abiria na magari, Azam Sea Link 2 itakayokuwa ikifanya safari zake kati  ya Dar es Salaam na Zanzibar ikiwa maeneo ya Bandari ya Zanzibar baada ya kuwasili nchini tayari kuanza kazi. Meli mali ya kampuni ya Bakhresa Group Limited, wamiliki wa klabu ya Azam FC pia, inaungana na Azam Sea Link 1 hivyo kufanya safari za abiria na magari yao kati ya Dar es Salaam na Zanzibar kuongezeka
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BAKHRESA ASHUSHA AZAM SEA LINK 2, NI BOINGE LA MELI HAKUNA TENA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top