• HABARI MPYA

  Sunday, January 08, 2017

  AZAM NA YANGA KATIKA PICHA JANA AMAAN

  Kiungo wa Azam, Frank Domayo akimtoka kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 4-0
  Kiungo wa Azam, Joseph Mahundi akijivuta kuwapita mabeki wa Yanga jana
  Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akiwafunga tela wachezaji wa Yanga 
  Mshambuliaji wa Azam, John Bocco akimtoka beki wa Yanga, Andre Vincent 'Dante' 
  Mshambuliaji wa Azam, Samuel Afful akiwatoka wachezaji wa Yanga
  Manahodha John Bocco wa Azam )kulia) na Haruna Niznyimza wa Yanga (kushoto) kabla ya mchezo wa jana 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM NA YANGA KATIKA PICHA JANA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top