• HABARI MPYA

    Saturday, January 14, 2017

    AZAM NA SIMBA KATIKA PICHA JANA AMAAN

    Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco 'Adebayor' (kulia) akimtoka beki wa Simba, Abdi Banda katika fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 1-0 na kutwaa Kombe
    Mfungaji wa bao pekee la Azam, Himid Mao (kushoto) akijivuta kumpita beki wa Simba, Abdi Banda
    Himid Mao mbele ya Abdi Banda katika mchezo wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar 
    Viungo Frank Domayo wa Azam (kulia) na James Kotei wa Simba (kushoto) 
    Beki wa Azam, Gardiel Michael (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Simba, Janvier Besala Bokungu
    Manahodha wa Simba, Jonas Mkude (wwa pili kulia) na John Bocco wa Azam (wa pili kushoto) wakiwa na marefa kabla ya mechi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM NA SIMBA KATIKA PICHA JANA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top