• HABARI MPYA

    Saturday, January 07, 2017

    ARSENAL YAWAPIGA 2-1 KWA MBINDE VIBONDE KOMBE LA FA

    Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 89 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Preston North End Uwanja wa Deepdale, Preston kwenye mchezo wa Kombe la FA England Raundi ya Tatu. Bao la kwanza la Arsenal limefungwa na Aaron Ramsey dakika ya 46, wakati bao la Preston limefungwa na Callum Robinson dakika ya saba PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YAWAPIGA 2-1 KWA MBINDE VIBONDE KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top