• HABARI MPYA

  Saturday, January 14, 2017

  ARSENAL YAITANDIKA SWANSEA CITY 4-0 LIBERTY

  Alex Iwobi akishangilia baada ya shuti lake kumbabatiza Jack Cork na kujifungia dakika ya 54 kuipatia Arsenal bao la pili katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji Swansea City leo Uwanja wa Liberty. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Olivier Giroud dakika ya 37, Kyle Naughton aliyejifunga pia dakika ya 67 na Alexis Sanchez dakika ya 73 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAITANDIKA SWANSEA CITY 4-0 LIBERTY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top