• HABARI MPYA

    Sunday, January 15, 2017

    ALONSO APIGA MBILI PEDRO MOJA, CHELSEA YAICHAPA 3-0 LEICESTER CITY KING POWER


    Beki Marcos Alonso (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake, Victor Moses (kushoto) na Gary Cahill (kulia) baada ya kuifungia Chelsea mabao mawili dakika za sita na 51 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji Leicester City Uwanja wa King Power usiku wa Jumamosi kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Chelsea limefungwa na Pedro dakika ya 71 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ALONSO APIGA MBILI PEDRO MOJA, CHELSEA YAICHAPA 3-0 LEICESTER CITY KING POWER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top