• HABARI MPYA

    Saturday, December 10, 2016

    SAMATTA ALIVYOTEKELEZA MAJUKUMU YAKE ULAYA JANA

    Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta (kulia) akijaribu kumpiga chenga mchezaji wa Sassuolo katika mchezo wa Kundi F michuano ya Europa League jana Uwanja wa Mapei, Citta del Tricolore mjini Reggio nell'Emilia, Italia. Genk ilishinda 2-0
    Samatta akiwania mpira wa juu dhidi ya mchezaji wa Sassulo
    Samatta akimpongeza kiungo Mbelgiji, Bryan Heynen baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 58 
    Samatta katika kikosi cha KRC Genk jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOTEKELEZA MAJUKUMU YAKE ULAYA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top