• HABARI MPYA

    Thursday, December 15, 2016

    RONALDO, BENZEMA WAFUNGA REAL IKIMPA MTU 2-0 KOMBE LA DUNIA

    Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo (kulia) akiruka kupiga kichwa na kukosa bao la wazi katika mchezo wa Nusu Fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia leo dhidi ya Club-America Uwanja wa Nissan mjini Yokohama, Japan. Real imeshinda 2-0, mabao ya Karim Benzema dakika ya 45 na ushei na Ronaldo dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO, BENZEMA WAFUNGA REAL IKIMPA MTU 2-0 KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top