• HABARI MPYA

  Sunday, December 18, 2016

  REAL BINGWA WA DUNIA, RONALDO APIGA TATU PEKE YAKE YAUA 4-2 JAPAN

  Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia na taji lao la Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA baada ya kuifunga mabao 4-2 Kashima Antlers leo Uwanja wa Nissan mjini Yokohama, Japan katika mchezo uliodumu kwa dakika 120 baada ya dakika 90 kwisha kwa sare ya 2-2. Mabao ya Real yalifungwa na Karim Benzema dakika ya tisa na Cristiano Ronaldo matatu dakika za 60 kwa penalti, 97 na 104 wakati ya Kashima yalifungwa na Gaku Shibasaki yote dakika za 44 na 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL BINGWA WA DUNIA, RONALDO APIGA TATU PEKE YAKE YAUA 4-2 JAPAN Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top