• HABARI MPYA

  Sunday, December 18, 2016

  LOLENGA MOCK ALIVYOMHENYESHA JOSEPH MARWA FRIENDS CORNER

  Bondia Lolenga Mock (kushoto) kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akizipia na Joseph Marwa wa Tanzania katika pambano la kuwania ubingwa wa Kanda ya Tano Afrika uzito wa Middle ukumbi wa Friends Corner, Manzese, Dar es Salaam Agosti 9 mwaka 1998 lililoandaliwa na Profesa Maji Marefu.  Marwa alishinda kwa pointi za majaji wote, ingawa ushindi huo ulilalamikwa na mashabiki na mpinzani wake kwamba ulikuwa wa upendeleo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LOLENGA MOCK ALIVYOMHENYESHA JOSEPH MARWA FRIENDS CORNER Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top