• HABARI MPYA

  Sunday, December 11, 2016

  LEICESTER CITY YAIFUMUA 4-2 MAN CITY, VADRY APIGA HAT TRICK

  Mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy akimpiga chenga kipa wa Manchester City, Claudio Bravo kukamilisha hat trick yake katika ushindi wa 4-2 usiku wa jana Uwanja wa King Power kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Vardy alifunga mabao yake dakika za tatu, 20 na 78, wakati bao lingine la Leicester lilifungwa na Andy King dakika ya tano, huku ya Man City yakifungwa na Aleksandar Kolarov dakika ya 82 na Nolito dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER CITY YAIFUMUA 4-2 MAN CITY, VADRY APIGA HAT TRICK Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top