• HABARI MPYA

  Thursday, December 01, 2016

  JUSTINE ZULLU ASAINI MIAKA MIWILI YANGA SC

  Kiungo Mzambia, Justine Zullu akisaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Yanga SC leo Dar es Salaam. Kiungo huyo wa zamani wa Zesco Unitd anakuja kuungana na kocha wake wa zamani, George Lwandamina

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JUSTINE ZULLU ASAINI MIAKA MIWILI YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top