• HABARI MPYA

  Sunday, December 11, 2016

  JOSHUA AMKALISHA MOLINA RAUNDI YA TATU, SASA KUZIPIGA NA KLITSCHKO APRILI MWAKANI

  Bondia Anthony Joshua (kushoto) akimshuhudia mpinzani wake, Eric Molina akijivuta vuta kuinuka baada ya kukaa chini kufuatia kumtupia konde kali la kulia ambalo lilimaliza pambano hilo raundi ya tatu kwa ushindi wa Knockout (KO) ukumbi wa Manchester Arena usiku wa jana. Kwa ushindi huo, AJ ametetea mkanda wake wa IBF na atarejea ulingoni Aprili 29, mwakani kupambana na Wladimir Klitschko Uwanja wa Wembley, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
  Refa akimuinua mkono Dillian Whyte dhidi ya Dereck Chisora baada ya ushindi wa pointi katika pambano la utangulizi jana  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JOSHUA AMKALISHA MOLINA RAUNDI YA TATU, SASA KUZIPIGA NA KLITSCHKO APRILI MWAKANI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top