• HABARI MPYA

    Saturday, December 17, 2016

    IBRA APIGA MAWILI, MAN UNITED YACHINJA 2-0 THE HAWTHORNS

    Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic (kushoto) akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika za tano na 56 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion usiku huu Uwanja wa The Hawthorns kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Anayemkimbilia kulia ni Jesse Lingard PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: IBRA APIGA MAWILI, MAN UNITED YACHINJA 2-0 THE HAWTHORNS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top