• HABARI MPYA

  Saturday, December 17, 2016

  COSTA MTU HATARI KWELI, CHELSEA POINTI TISA ZAIDI KILELENI ENGLAND

  Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Coasta akipeana mikono na kocha wake, Mtaliano Antonio Conte baada ya kuifungia timu hiyo bao pekee la ushindi dakika ya 43 The Blues ikiilaza 1-0 Crystal Palace Uwanja wa Selhurst Park leo. Ushindi huo unaifanya Chelsea iongoze kwa pointi tisa zaidi kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COSTA MTU HATARI KWELI, CHELSEA POINTI TISA ZAIDI KILELENI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top