• HABARI MPYA

    Saturday, December 03, 2016

    CHELSEA YAICHAPA 3-1 MAN CITY PALE PALE ETIHAD KWAO

    Diego Costa akishangilia na Marcos Alonso baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 59 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Manchester City leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Willian dakika ya 70 na Eden Hazard dakika ya 90, wakati Gary Cahil alijifunga dakika ya 45 kuipatia bao la kufutia machozi Man City PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA 3-1 MAN CITY PALE PALE ETIHAD KWAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top