• HABARI MPYA

  Saturday, December 10, 2016

  BENCHI JIPYA LA UFUNDI YANGA KAZINI LEO SHAMBA LA BIBI

  BENCHI JIPYA YANGA; Kutoka kulia Meneja Hafidh Saleh, Kocha wa makipa, Juma Pondamali, Kocha Msaidizi Neol Mwandila (Zambia), Kocha Mkuu George Lwandamina (Zambia) na Kocha Msaidizi wa pili, Juma Mwambusi wakifuatili mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU ya Zanzibar unaoendelea hivi sasa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENCHI JIPYA LA UFUNDI YANGA KAZINI LEO SHAMBA LA BIBI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top